Sababu ya Singida United kuachana na Kocha Morocco

Sababu ya Singida United kuachana na Kocha Morocco

Baada ya club ya Singida United mapema mwezi January 12 kutangaza makocha wapya raia wa kigeni kujiunga na timu huku kukiwa na tetesi za kushindwa kumlipa kocha Hemed Morocco hadi kaamua kuiacha timu

Mkugenzi Mtendaji wa Singida United Festo Sanga ambaye ameeleza ukweli kuhusiana na maamuzi hayo na kweli wameshindwa kumlipa kocha Morocco? kwa mujibu wa Festo Sanga hawakushindwa kumlipa sema alikuwa na majukumu mengine yanayomuweka busy kushindwa kutoa huduma kwa team kwa wakati na palikuwa na makubaliano ya pande zote mbili na kuridhia kwa masali ya pande zote mbili , ikumbukwe pia Hemed Morocco ni KOCHA Msaidizi wa timu ya soka ya Taifa (Taifa Stars).

Leave a Comment