Ndondo Cup ya mpeleka mchezaji Ulaya

Ndondo Cup ya mpeleka mchezaji Ulaya

Mchezaji bora wa Ndondo Cup Academy Rabbin Sanga ameondoka usiku wa kuamkia leo Jumapili February kuelekea nchini Uturuki kufanya majaribia ya siku 10 kwenye Academy ya Besiktas.

Sanga alichaguliwa mchezaji bora kutoka timu ya Bombom Youth yenye maskani yake mtaa wa Twiga na Jangwani, Kariakoo.

Safari hii ni utekelezaji wa ahadi ya wadhamini wa Ndondo Cup kampuni ya Beko ambao pia ni wadhamini wa timu ya Besiktas na FC Barcelona

Kila la kheri jembe kawafungulie Dunia vijana wenzako.


Leave a Comment