Michy Batshuayi: Crystal Palace wamsajili mchezaji wa Chelsea kwa mkopo mpaka mwisho wa msimu

Michy Batshuayi: Crystal Palace wamsajili mchezaji wa Chelsea kwa mkopo mpaka mwisho wa msimu

Mshambuliaji wa kimataifa wa Ubelgiji, mwenye umri wa miaka 25, alikuwa kwa mkopo wa muda mrefu katika klabu ya La Liga Valencia kabla ya maamuzi yake ya kusitisha mkataba na kutafuta changamoto mpya.

Batshuayi ambaye alikuwa amehusishwa na kuwaniwa na team za Uingereza Tottenham na Everton sahihi ikidondokea kwa Crystal Palace,

“Hii ni ishara ya kubwa kwa ya Crystal Palace,” alisema mwenyekiti wa klabu Steve Parish.

“Michy ni mchezaji ambaye tumekuwa tukingwangalia karibu muda mrefu, na ninafurahi kuwa
hatimaye tumeweza kumvisha jezi ya nyekundu na bluu. Ataongeza kitu kikubwa
sana kwenye kikosi chetu.”

Chelsea ilisaini Batshuayi kwa £ 33.2m kutoka Marseille mwaka wa 2016, na alifunga goli la ushinda na lililopeleka ubingwa Chelsea msimu wa 2016-17.

Alicheza nusu ya pili ya msimu uliopita kwa mkopo Borussia Dortmund, ambapo alifunga mara tisa katika michezo 14 , Pia amefanikiwa kufunga goli moja katika michezo 15 ya La Liga kwa Valencia msimu huu.

Leave a Comment