Mchanganuo wa mapato mechi ya watani wa jadi

Mchanganuo wa mapato mechi ya watani wa jadi

Mgawanyo wa mapato

VAT 52,295,338.98

Selcom 15,170,006.25

TFF 13,767,982.74

Uwanja 41,303,948.22

Young Africans 165,215,792.86

Gharama za mchezo 19,275,175.83

TPLB 24,782,368.93

BMT 2,753,596.55

DRFA 8,260,789.64

Mchezo namba 270 wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliozikutanisha Young Africans na Simba uliochezwa Jumamosi Februari 16,2019 kwenye Uwanja wa Taifa umeingiza jumla ya shilingi Milioni 342,825,000

Mchezo huo uliingiza jumla ya watazamaji 41,266

Leave a Comment