breaking news New
kuelekea mchezo wa Guinea dhidi ya Madagascar

kuelekea mchezo wa Guinea dhidi ya Madagascar

Head to head Guinea V Madagascar kwenye michezo 2 ya mwisho

5/6/2011 Guinea 4-1 Madagascar

27/3/2011 Madagascar 1-1 Guinea

Matokeo ya Guinea katika michezo ya karibuni

Misri 3-1 Guinea

Guinea 0-1 Benin

Guinea 0-1 Gambia

Jamhuri ya Afrika ya Kati 0-0 Guinea

Guinea 1-1 Ivory Coast

Matokeo ya Madagascar katika michezo ya karibuni

Madagascar 0-1 Kenya

Luxembourg 3-3 Madagascar

Senegal 2-0 Madagascar

Madagascar 1-3 Sudan

Taarifa muhimu kuelekea katika mchezo huo.

1.Huu ni mchezo wa kwanza Kwa timu hizi kukutana katika mashindano haya.

2.Guinea wanashiriki mashindano haya Kwa Mara ya 12 bila kufanikiwa kutwaa taji.

3.Guinea wameondolewa katika hatua ya robo fainali Mara 4 kati ya 4 walizoshiriki katika mashindano haya ya Afcon.

4.Madagascar wanashiriki Kwa Mara ya Kwanza Afcon katika historia yao na wanaungana na timu kama Burundi na Mauritania.

5.Kocha wa Guinea Paul Put anafanikiwa kushiriki mashindano haya Kwa Mara ya 3 baada ya kufanikiwa na Burknafaso mwaka 2013 na mwaka 2015 wakitolewa katika hatua ya makundi.

Leave a Comment