breaking news New
Kocha Msaidizi Simba kathibitisha watawakosa mastaa watatu

Kocha Msaidizi Simba kathibitisha watawakosa mastaa watatu

Kuelekea kuanza kwa msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2019/2020, leo saa moja usiku uwanja wa Taifa Dar es Salaam utachezwa mchezo wa Ngao ya Hisani kati ya Simba SC dhidi ya Azam FC, kuelekea mchezo huo kocha msaidzi wa Simba SC Mohammed Mwalami.

“Kwa namshukuru mwenyezi Mungu kwakuwa niko salama hadi hivi sasa maandalizi yanakwenda vizuri tu tulikuwa kwenye Pre Season yetu Afrika Kusini, huu mchezo tumejiandaa kuchukua (Ngao ya Jamii) ila tunakabiliwa na majeruhi wapo kama watatu Ajib, Manula pamoja na Da Silva”

Leave a Comment