breaking news New
Klabu ya Simba imetangaza kumsajili Mshambuliaji kutoka Ndanda FC

Klabu ya Simba imetangaza kumsajili Mshambuliaji kutoka Ndanda FC

Klabu ya Simba imetangaza kumsajili Mshambuliaji Vitalis Mayanga, kutoka Ndanda FC ya Mtwara. Usajili huo unaelezwa ni kutokana na matakwa ya Kocha Mkuu wa timu, Mbelgiji, Patrick Aussems.

Baada ya kukamilisha usajili wake, uongozi umesema tayari umeshafanikisha kupata leseni yake maalumu kwa michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika inayoendelea hivi sasa. Katika ukurasa wa twitter wa klabu ya Simba imeandikwa,

Katika ukurasa wa twitter wa klabu ya Simba imethibitishwa
Katika ukurasa wa twitter wa klabu ya Simba imethibitishwa

Leave a Comment