Done deal: Denis Suárez atua rasmi Arsenal

Done deal: Denis Suárez atua rasmi Arsenal

Ule usajili uliokuwa unangojewa kwa hamu na mashabiki wengi wa Arsenal sasa umekuwa rasmi, Kiungo wa Barcelona Denis Suárez ajiunga na Gunners kwa usjalili wa mkopo mpaka mwisho wa msimu,

Wakati kocha wa Arsenal akiwa anatafuta namna ya kuimarisha kikosi chake ili kumalizia msimu amefanikiwa kuinasa saini ya winga wa Barcelona Denis Suáre.

Kupitia account ya Arsenal ya twitter wamethibitisha

Leave a Comment