breaking news New

Habari mpya

Rooney pokea Simu yangu

Nilitamani kuzungumza nawe lakini haya hayo hapo juu ni fikra nazungumza mwenyewe wakati simu ya Rooney ikiwa inaita lakini hapoke

Read More

Al Ahly yaifunika Barcelona

Majina kama Liverpool , Manchester United , Barcelona ,Real Madrid , Bayern Munich zinajulikana kwa kuwa na mafanikio kutokana na utawala wao wa soka kwa nayakati tofauti hususani kwenye Bara la Ulaya. Lakini kama tukitaja orodha ya vilabu vitano vyenye mafanikio zaidi katika Duniani hakuna hata timu moja tajwa hapo juu ambayo itaingia nafasi 5 za ju

Read More

TFF na sheria zenye utata

Bodi ya Ligi inapotunga kanuni kabla ya kuanza kuzitumia huwa inashirikisha wadau wake ambao ni vilabu vya Ligi Kuu, Ligi Daraja la kwanza na Ligi Daraja la pili na iwapo vilabu vitaona kwamba hizo kanuni ziko sawa basi ndipo Bodi ya ligi inazipeleka kwenye kamati ya utendaji ya TFF ambayo inazihakiki na kuzipitisha ili zianze kutumika

Read More

Makipa bora kuwahi kutokea Duniani

huku akiitumikia timu ya USSR michezo 74 pekee. Yashin aliokoa penati zaidi ya 150 huku akiwa na Clean Sheets zaidi ya 500 huku akicheza michezo 812 pekee.

Read More

Mabadiliko Makubwa VPL 2019/2020

Mabadiliko hayo yanatarajia kufanya ligi kuwa na ushindani tangu mwanzo mwa ligi mpaka mwisho wa ligi ili timu kukwepa lushuka daraja . Ukitazama msimu uliopita ligi ilikosa mvuto kutokana na idadi kubwa ya timu kupambania kushuka daraja katika dakika za mwisho kuliko kupambania Ubingwa wa ligi kuu.

Read More

Tunahitaji akina Mo wengi katika soka letu

Katika kipindi cha miaka 3 iliyopita matunda ya muwekezaji huyo yanaonekana kuwa na matunda katika klabu endapo kutakuwa na sapoti kubwa kutoka kwa wadau wa soka

Read More

Mambo 10 unayopaswa kuyafahamu kuelekea michuano ya Copa America

Michuano ya Copa Amerika inatarajia kuanzia tarehe 14 mwezi huu mpaka tarehe 7 mwezi July ,Michuano hiyo hushirikisha timu kutoka katika nchi za Amerika ya Kusini.

Read More

Fenway Sports Group waimba wimbo wa Liverpool kwa mara ya kwanza.

Kama kuna mtu anaweza kuwa na furaha Zaidi kwenye mafanikio ya Liverpool ni Martin Broughton mbali ya kuwa shabiki wa kutupwa wa Chelsea

Read More

Mambo Tuliyojifunza Katika Fainali Ya UCL

Liverpool wanafanikiwa kutwaa taji lao la 6 katika mashindano ya ligi ya Mabingwa barani Ulaya

Read More

Simba Mna Deni la Watanzania ni Kweli Ratiba ya TPL Kigugumizi

Bado tunakumbuka ahadi mliyoiweka kwamba mtashinda mechi zote za nyumbani. Baada ya kuifunga JS Saoura hapa nyumbani, sasa mwendelezo huo uwepo katika mechi dhidi ya Al Ahly na AS Vita Club....

Read More

Page 1 of 2