Habari mpya

Ligi Kuu Tanzania Bara: Yanga Sc yavunja mwiko, Tanzania Prisons ya watambia mahasimu zao

Yanga Sc imetoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya Mbao FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwenye Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza.

Read More

Mchanganuo wa mapato mechi ya watani wa jadi

Mchezo namba 270 wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliozikutanisha Young Africans na Simba uliochezwa Jumamosi Februari 16,2019

Read More

Simba Sc wamtambia mtani wa Jadi ‘TPL’, Meddie Kagere tena

Bao la dakika ya 71 la Meddie Kagere, limetosha kuwatenganisha watani wa jadi wa Dar Es Salaam katika mchezo wao wa 102 wa ligi, tangu wakutane mara ya kwanza 1965.

Read More

Azam yaduwazwa Mbeya, Biashara United walamba sukari

Kipigo walichopata Azam toka kwa Tanzania Prisons ni cha pili kwao msimu huu baada ya kuchapwa na kwa mara ya kwanza na Mtibwa Sugar kwenye uwanja wa Manungu,

Read More

Singida United yatinga 16 bora Azam Sports Federation (ASFC)

TIMU ya Singida United imefanikiwa kuingia hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya JKT Tanzania

Read More

Azam F.C na hesabu mpya dhidi ya Tanzania Prisons

BAADA ya kugawana pointi moja wakiwa ugenini mbele ya Lipuli FC, kikosi cha Azam FC kimeanza kujiandaa kwa ajili ya mchezo wao dhidi ya Tanzania Prisons ..

Read More

Sababu ya Singida United kuachana na Kocha Morocco

Baada ya club ya Singida United mapema mwezi January 12 kutangaza makocha wapya raia wa kigeni kujiunga na timu huku kukiwa na tetesi za kushindwa kumlipa kocha Hemed Morocco hadi kaamua kuiacha timu

Read More

Simba Mna Deni la Watanzania ni Kweli Ratiba ya TPL Kigugumizi

Bado tunakumbuka ahadi mliyoiweka kwamba mtashinda mechi zote za nyumbani. Baada ya kuifunga JS Saoura hapa nyumbani, sasa mwendelezo huo uwepo katika mechi dhidi ya Al Ahly na AS Vita Club....

Read More

Yanga yazidi kujiimarisha kileleni

TIMU ya Yanga SC imezinduka baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya JKT Tanzani katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga.

Read More

Yanga yapata pigo jingine

Kwa mujibu wa taarifa kutoka ndani ya klabu hivyo zinasema Kamusoko alishindwa kumaliza mazoezi ya jana jioni na baada ya uchunguzi.

Read More

Page 1 of 3