breaking news New

Habari mpya

Rooney pokea Simu yangu

Nilitamani kuzungumza nawe lakini haya hayo hapo juu ni fikra nazungumza mwenyewe wakati simu ya Rooney ikiwa inaita lakini hapoke

Read More

Samata atikisa michuano ya Ulaya

Samata akiwa na Genk kwani mpaka sasa kafanikiwa kuifungia timu hiyo magoli 6 kwenye msimu huu mpya wa ligi

Read More

Al Ahly yaifunika Barcelona

Majina kama Liverpool , Manchester United , Barcelona ,Real Madrid , Bayern Munich zinajulikana kwa kuwa na mafanikio kutokana na utawala wao wa soka kwa nayakati tofauti hususani kwenye Bara la Ulaya. Lakini kama tukitaja orodha ya vilabu vitano vyenye mafanikio zaidi katika Duniani hakuna hata timu moja tajwa hapo juu ambayo itaingia nafasi 5 za ju

Read More

Makipa bora kuwahi kutokea Duniani

huku akiitumikia timu ya USSR michezo 74 pekee. Yashin aliokoa penati zaidi ya 150 huku akiwa na Clean Sheets zaidi ya 500 huku akicheza michezo 812 pekee.

Read More

Samata atikisa Ubelgiji

Ushindi huo unawafanya Genk kufikisha alama 6 wakiwa kwenye nafasi ya 7

Read More

Manchester United na mabadiliko katika msimu mpya

Changamoto kubwa waliyokuwa nayo Manchester United katika msimu uliopita ni katika idara ya ulinzi ambapo waliruhusu magoli ya kufungwa zaidi ya 40

Read More

Tanzania yaifuata Burundi kwenye CHAN

Katika mchezo huo kipa Mkongwe wa Tanzania Juma Kaseja alifanikiwa kudaka penati moja

Read More

kuelekea mchezo wa Guinea dhidi ya Madagascar

kuelekea mchezo wa kombe la mataifa barani Afrika

Read More

Chile yaanza kampeni za kutetea Taji

Chile wametupa karata yao ya kwanza katika mchezo wa kundi C na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa magoli 4 ..

Read More

Mambo 10 unayopaswa kuyafahamu kuelekea michuano ya Copa America

Michuano ya Copa Amerika inatarajia kuanzia tarehe 14 mwezi huu mpaka tarehe 7 mwezi July ,Michuano hiyo hushirikisha timu kutoka katika nchi za Amerika ya Kusini.

Read More

Page 1 of 5