Habari mpya

Mshahara wa pauni elfu 400 kwa wiki wampeleka Aaron Ramsey Juventus

Mkataba wa mchezaji huyo wa kimataifa wa Wales unakamilika Juni 30 na Gunners hawatapokea malipo yoyote atakapo ondoka.

Read More

Ufalme wa Sergio Aguero EPL

Idadi ya magoli aliyofunga dhidi ya chelsea yamemfanya avunje rekodi ya Eric Brook na Timmy Johnson ya magoli 158 katika klabu ya City

Read More

Tottenham Hotspur kimyakimya kwenye mbio za Ubingwa

Mabao kutoka kwa Davinson Sanchez dakika ya 33, Christian Eriksen dakika ya 63 na Heung-Min Son dakika ya 90 yanaifanya Tottenham kuzidi kuisogelea Livelpool ...

Read More

Liverpool yaendelea kudondosha point

Ligi bado haijaisha, kuna mechi 13 zilizosalia kuchezwa, lakini kwa mashabiki wa Liverpool tayari kuna hofu inayoanza kujengeka.

Read More

Michy Batshuayi: Crystal Palace wamsajili mchezaji wa Chelsea kwa mkopo mpaka mwisho wa msimu

Mshambuliaji wa kimataifa wa Ubelgiji, mwenye umri wa miaka 25, alikuwa kwa mkopo wa muda mrefu katika klabu ya La Liga Valencia kabla ya maamuzi yake ya kusitisha mkataba na kutafuta changamoto mpya

Read More

Miguel Almiron avunja rekodi ya uhamisho Newcastle

Uhamisho wa Miguel Almiron kuingia Newcastle unamfanya kuwa mchezaji ghali zaidi kuuzwa kutoka ligi kuu ya soka Marekani.

Read More

Denis Suarez kutatua tatizo la ubunifu wa Arsenal

Arsenal imekuwa ikimiliki mpira kwa asilimia kubwa kwenye michezo yake ya karibuni na baadhi wanafika asilimia 70% ya umilki wa mpira, Changamoto kubwa ni ukosefu wa ubunifu huku wengi wakililia huduma ya .......

Read More

Gonzalo Higuain aanza kwa mkosi ligi kuu Wingereza (EPL)

Gonzalo Higuain mchezo wake wa kwanza wa ligi akiwa na kikosi cha Chelsea waki pokea kipigo kizito cha goli nne bila majibu kutoka kwa klabu ya Bournemouth....

Read More

Marouane Fellaini: Nyota wa Manchester United kujiunga na klabu ya China

Kiungo wa kati wa Manchester United Marouane Fellaini ameridhia makubaliano binafsi mkataba wa kibinasi na klabu ya Shandong Luneng kwa lengo la kuhamia klabu hiyo ya China.

Read More

Asante Kipa tegemeo David De Gea kwa utamu huu!!

Katika ukurasa wake wa tweeter mwanaume mmoja mabaye wengi walidhani ndiye aliyewahi kuvaa gloves bora kwenye kikosi na historia ya Manchester United alikuwa ameweka emoji ya kunyoosha mikono...

Read More