breaking news New

Habari mpya

Samata atikisa michuano ya Ulaya

Samata akiwa na Genk kwani mpaka sasa kafanikiwa kuifungia timu hiyo magoli 6 kwenye msimu huu mpya wa ligi

Read More

Tanzania yatwaa Cosafa mbele ya Zambia

Magoli ya Tanzania yamefungwa na Oppa Clement dakika ya 24 na Protasia Mbunda kwenye dakika ya 87 akifunga kwa shuti kal

Read More

Mambo 10 unayopaswa kuyafahamu kuelekea michuano ya Copa America

Michuano ya Copa Amerika inatarajia kuanzia tarehe 14 mwezi huu mpaka tarehe 7 mwezi July ,Michuano hiyo hushirikisha timu kutoka katika nchi za Amerika ya Kusini.

Read More

Uimarishwaji wa soka la vijana

Kanuni ya soka imeeleza kuwa ni vyema walau Kwa kila timu ya mpira kuwa na academy yake ya soka Kwa lengo la kusaidia uimarishwaji wa soka la Vijana kuanzia

Read More

Fenway Sports Group waimba wimbo wa Liverpool kwa mara ya kwanza.

Kama kuna mtu anaweza kuwa na furaha Zaidi kwenye mafanikio ya Liverpool ni Martin Broughton mbali ya kuwa shabiki wa kutupwa wa Chelsea

Read More

Mshahara wa pauni elfu 400 kwa wiki wampeleka Aaron Ramsey Juventus

Mkataba wa mchezaji huyo wa kimataifa wa Wales unakamilika Juni 30 na Gunners hawatapokea malipo yoyote atakapo ondoka.

Read More

Mourinho ahukumiwa mwaka mmoja jela

Kocha wa zamani wa Mancester United Jose Mourinho amekubali adhabu ya kwenda jela mwaka mmoja kwa kosa la ukwepaji kodi nchini Uhispania.

Read More

Michuano ya vijana wasiozidi miaka 20 Africa yaendelea

Timu ya taifa ya Afrika Kusini yenye vijana wasiozidi miaka 20, wanaingia uwanjani kumenyana na Nigeria katika mchuano wa pili,

Read More

AFC Leopards yampata kocha mpya

Uongozi wa kllabu ya AFC Leopards nchini Kenya, umemteua Andre Cassa Mbungo raia wa Rwanda kuwa kocha wake mpya, baada ya kujiuzulu ...

Read More

Azam FC kikaangoni mwezi Februari, mechi sita tatu ugenini

Club ya Azam FC, imedondoka kwenye ratiba ya majaribu mwezi Februari huu,Ratiba hiyo inaonyesha kuwa, Azam FC itacheza jumla ya mechi sita, tano zikiwa za Ligi Kuu na mchezo mmoja wa Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup)

Read More

Page 1 of 2