Habari mpya

Bostwana FA ya vunja mkataba wa David Bright

Chama cha Soka Botswana (BFA) ya tangaza kumfunguliwa njia kocha wa timu ya kitaifa David Bright kufuatia mwenendo wa timu na matokeo yasiyothibitisha.

Read More

Oussama Idrissi afanya maamuzi magumui, sasa kuvaa jezi ya Morroco

Winga wa AZ Alkmaar Oussama Idrissi amefanya maamuzi magumu kwa kuweka pembeni fursa ya kuichezea team ya taifa ya Uholanzi na badala yake ataitumikia taifa la Morocco.

Read More

Ligi Kuu Tanzania Bara: Yanga Sc yavunja mwiko, Tanzania Prisons ya watambia mahasimu zao

Yanga Sc imetoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya Mbao FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwenye Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza.

Read More

Ligi Kuu Tanzania Bara: Simba ya endeleza wimbi la ushindi , Azam yaambulia sare

Simba Sc imeendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuichapa mabao 3-0 African Lyon katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha

Read More

U20 Afrika : Mali yashinda ubingwa wa Afrika

Timu ya taifa ya vijana ya Mali chini ya miaka 20 imeshinda ubingwa wa Afrika baada ya kuifunga Senegal kwa changamoto ya mikwaju ya penati

Read More

Mchanganuo wa mapato mechi ya watani wa jadi

Mchezo namba 270 wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliozikutanisha Young Africans na Simba uliochezwa Jumamosi Februari 16,2019

Read More

Pro Piacenza yalazwa 20-0 katika mechi ya ligi Serie C

Klabu hiyo ya ligi ya Serie C iliowekwa katika kundi A ilishindwa magoli 20-0 na wapinzani wao katika ligi hiyo Cuneo siku ya Jumapili jioni.

Read More

Real Madrid yakosa fursa ya kupanda nafasi ya pili La Liga

Real Madrid ilikosa fursa ya kupanda hadi nafasi ya pili katika jedwali la ligi ya La Liga baada ya Girona kutoka nyuma na kuwalaza mabingwa hao wa Ulaya uwanjani Bernabeu.

Read More

Simba Sc wamtambia mtani wa Jadi ‘TPL’, Meddie Kagere tena

Bao la dakika ya 71 la Meddie Kagere, limetosha kuwatenganisha watani wa jadi wa Dar Es Salaam katika mchezo wao wa 102 wa ligi, tangu wakutane mara ya kwanza 1965.

Read More

Athanasi Mdamu ndani ya Kariobangi Sharks

Mshambuliaji wa Singida United, Athanasi Mdamu amesaini mkataba wa miaka mitatu kujiunga na klabu ya Kariobangi Sharks ya Kenya.

Read More

Page 1 of 7