Azam yaduwazwa Mbeya, Biashara United walamba sukari
Kitaifa

Azam yaduwazwa Mbeya, Biashara United walamba sukari

Kipigo walichopata Azam toka kwa Tanzania Prisons ni cha pili kwao msimu huu baada ya kuchapwa na kwa mara ya kwanza na Mtibwa Sugar kwenye uwanja wa Manungu,

Gonzalo Higuain aanza kwa mkosi ligi kuu Wingereza (EPL)
Ligi EPL

Gonzalo Higuain aanza kwa mkosi ligi kuu Wingereza (EPL)

Gonzalo Higuain mchezo wake wa kwanza wa ligi akiwa na kikosi cha Chelsea waki pokea kipigo kizito cha goli nne bila majibu kutoka kwa klabu ya Bournemouth....

Liverpool na Senegal zinamdai Sadio Mane
Makala

Liverpool na Senegal zinamdai Sadio Mane

Inachukua muda kupata kile unakihitaji kwa nia zote, hii ni pamoja na kuunganisha sala na juhudi juu ya kile unachokitafuta, Hii inajidhirilisha kwa ustadhi Sadio mane. Kwa sasa ni mshambuliaji wa klabu ya liverpool..

Michuano ya vijana wasiozidi miaka 20 Africa yaendelea
Breaking news Kimataifa

Michuano ya vijana wasiozidi miaka 20 Africa yaendelea

Timu ya taifa ya Afrika Kusini yenye vijana wasiozidi miaka 20, wanaingia uwanjani kumenyana na Nigeria katika mchuano wa pili,

Habari zinazotrend

Habari mpya

Simba Sc wamtambia mtani wa Jadi ‘TPL’, Meddie Kagere tena

Bao la dakika ya 71 la Meddie Kagere, limetosha kuwatenganisha watani wa jadi wa Dar Es Salaam katika mchezo wao wa 102 wa ligi, tangu wakutane mara ya kwanza 1965.

Read More

Athanasi Mdamu ndani ya Kariobangi Sharks

Mshambuliaji wa Singida United, Athanasi Mdamu amesaini mkataba wa miaka mitatu kujiunga na klabu ya Kariobangi Sharks ya Kenya.

Read More

Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Yaunguruma

KAMATI ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imemfungia Katibu Mkuu wa Rhino Rangers, Dickson Mgalike kutojihusisha na soka kwa miezi mitatu na kumtoza faini ya Sh. Milioni 1

Read More

Tottenham, Madrid waanza vema klabu bingwa ulaya

Tottenham Hotspurs, wakiwa katika dimba lao la nyumbani Wembley, wamechomoza na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Borussia Dortmund kutoka nchini Ujerumani.

Read More

Azam yaduwazwa Mbeya, Biashara United walamba sukari

Kipigo walichopata Azam toka kwa Tanzania Prisons ni cha pili kwao msimu huu baada ya kuchapwa na kwa mara ya kwanza na Mtibwa Sugar kwenye uwanja wa Manungu,

Read More

Singida United yatinga 16 bora Azam Sports Federation (ASFC)

TIMU ya Singida United imefanikiwa kuingia hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya JKT Tanzania

Read More

Kylian Mbappe aongoza jahazi kwenye uwanja wa Old Trafford.

Mabao ya Presnel Kimpembe na Kylian Mbappe yawapatia ushindi wa mabao 2- 0 Paris St-Germain katika uwanja wa Old Trafford,

Read More

Paul Scholes ameanza vizuri kazi yake ya ukocha

Paul Scholes ameanza vizuri kazi yake ya ukocha baada ya kikosi chake cha Oldham kushinda kwa mabao 4-1 dhidi ya Yeovil.

Read More

Page 2 of 8