Yanga yazidi kujiimarisha kileleni
Kitaifa

Yanga yazidi kujiimarisha kileleni

TIMU ya Yanga SC imezinduka baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya JKT Tanzani katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga.

Liverpool yaendelea kudondosha point
Breaking news Kimataifa Ligi EPL

Liverpool yaendelea kudondosha point

Ligi bado haijaisha, kuna mechi 13 zilizosalia kuchezwa, lakini kwa mashabiki wa Liverpool tayari kuna hofu inayoanza kujengeka.

Liverpool na Senegal zinamdai Sadio Mane
Makala

Liverpool na Senegal zinamdai Sadio Mane

Inachukua muda kupata kile unakihitaji kwa nia zote, hii ni pamoja na kuunganisha sala na juhudi juu ya kile unachokitafuta, Hii inajidhirilisha kwa ustadhi Sadio mane. Kwa sasa ni mshambuliaji wa klabu ya liverpool..

Paul Scholes ameanza vizuri kazi yake ya ukocha
Kimataifa

Paul Scholes ameanza vizuri kazi yake ya ukocha

Paul Scholes ameanza vizuri kazi yake ya ukocha baada ya kikosi chake cha Oldham kushinda kwa mabao 4-1 dhidi ya Yeovil.

Habari zinazotrend

Habari mpya

Hassan Kessy azidi kupeperusha bendera

Kwenye mchezo wa Charity Shield Ngao ya hisani ambao pia huwa unatumika kama sehemu ya ufunguzi wa ligi ya Zambia ulichezwa baina ya Zesco vs Nkana. Mpaka dakika tisini zinakamika jana...

Read More

Liverpool na Senegal zinamdai Sadio Mane

Inachukua muda kupata kile unakihitaji kwa nia zote, hii ni pamoja na kuunganisha sala na juhudi juu ya kile unachokitafuta, Hii inajidhirilisha kwa ustadhi Sadio mane. Kwa sasa ni mshambuliaji wa klabu ya liverpool..

Read More

Alichofanya Manara kilipaswa kufanywa na Simba

Haji aliingia Simba kama mtu wa kawaida sana alikua mtu anayejulikana na watu wachache ila hakuwa maarufu, amewahi kupita Radio Uhuru lakini si wengi walimjua huko amewahi pia kupita CCM lakini si wengi walimfahamu..

Read More

Asante Kipa tegemeo David De Gea kwa utamu huu!!

Katika ukurasa wake wa tweeter mwanaume mmoja mabaye wengi walidhani ndiye aliyewahi kuvaa gloves bora kwenye kikosi na historia ya Manchester United alikuwa ameweka emoji ya kunyoosha mikono...

Read More

Kwa heri Peter Cech GLOVES zako zitaendelea kukumbukwa Darajani

Wakati zilipovuja taarifa za golikipa wa Jamhuri ya Czech ambaye alikuwa asajiliwe na klabu ya Manchester United atakwenda Chelsea kwa sababu mtu ambaye alikuwa amesimamia deal ya usajili wake Old Trafford

Read More

Page 8 of 8