Udhamini Ligi Kuu Tanzania Bara
Kitaifa

Udhamini Ligi Kuu Tanzania Bara

Rais wa TFF Wallace Karia kupitia hotuba yake kwenye Mkutano Mkuu wa TFF 2019 amesema bado wapo katika mkakati wa kutafuta mdhamini wa ligi kuu na tayari wameingia makubaliano na kampuni ...

Ufalme wa Sergio Aguero EPL
Kimataifa Ligi EPL

Ufalme wa Sergio Aguero EPL

Idadi ya magoli aliyofunga dhidi ya chelsea yamemfanya avunje rekodi ya Eric Brook na Timmy Johnson ya magoli 158 katika klabu ya City

Simba Mna Deni la Watanzania ni Kweli Ratiba ya TPL Kigugumizi
Kitaifa Makala

Simba Mna Deni la Watanzania ni Kweli Ratiba ya TPL Kigugumizi

Bado tunakumbuka ahadi mliyoiweka kwamba mtashinda mechi zote za nyumbani. Baada ya kuifunga JS Saoura hapa nyumbani, sasa mwendelezo huo uwepo katika mechi dhidi ya Al Ahly na AS Vita Club....

Simba Sc yapindua matokeo vs Al Ahly, Js Saoura waondoka na point tatu vs As vita
Kimataifa

Simba Sc yapindua matokeo vs Al Ahly, Js Saoura waondoka na point tatu vs As vita

Baada ya club ya Simba SC kupokea vipigo viwili mfululizo vya magoli 5-0 jijini Kinshasa dhidi ya AS Vita na Alexandria nchini Misri dhidi ya Al Ahly, game ya marudiano dhidi ya Al Ahly

Habari zinazotrend

Habari mpya

Azam F.C na hesabu mpya dhidi ya Tanzania Prisons

BAADA ya kugawana pointi moja wakiwa ugenini mbele ya Lipuli FC, kikosi cha Azam FC kimeanza kujiandaa kwa ajili ya mchezo wao dhidi ya Tanzania Prisons ..

Read More

Simba Sc yapindua matokeo vs Al Ahly, Js Saoura waondoka na point tatu vs As vita

Baada ya club ya Simba SC kupokea vipigo viwili mfululizo vya magoli 5-0 jijini Kinshasa dhidi ya AS Vita na Alexandria nchini Misri dhidi ya Al Ahly, game ya marudiano dhidi ya Al Ahly

Read More

Mshahara wa pauni elfu 400 kwa wiki wampeleka Aaron Ramsey Juventus

Mkataba wa mchezaji huyo wa kimataifa wa Wales unakamilika Juni 30 na Gunners hawatapokea malipo yoyote atakapo ondoka.

Read More

Zamu ya Paul Scholes baada ya Neville na Henry kuchemka

Kiungo wa zamani wa Club ya Man United Paul Scholes amepewa shavu la kuwa kocha mkuu wa timu ya Oldham Athletic kwa mkataba wa mwaka mmoja

Read More

Sababu ya Singida United kuachana na Kocha Morocco

Baada ya club ya Singida United mapema mwezi January 12 kutangaza makocha wapya raia wa kigeni kujiunga na timu huku kukiwa na tetesi za kushindwa kumlipa kocha Hemed Morocco hadi kaamua kuiacha timu

Read More

Ufalme wa Sergio Aguero EPL

Idadi ya magoli aliyofunga dhidi ya chelsea yamemfanya avunje rekodi ya Eric Brook na Timmy Johnson ya magoli 158 katika klabu ya City

Read More

Tottenham Hotspur kimyakimya kwenye mbio za Ubingwa

Mabao kutoka kwa Davinson Sanchez dakika ya 33, Christian Eriksen dakika ya 63 na Heung-Min Son dakika ya 90 yanaifanya Tottenham kuzidi kuisogelea Livelpool ...

Page 3 of 8